Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Mama yangu sio mshauri mkuu namshirikisha mambo machache ya siri. Mama yangu hawezi ku argue na mume wangu. Mume anatakiwa amalizane na mimi kuepusha mizozo
Ikitokea ukaona Meseji ya mapenzi ktk simu ya mumeo ukahisi ni dada yako
Kabla ya kuuliza utafanya nn

DJ sepetu
 
Nini tofauti ya ndoa , harusi Na fungate!


DJ sepetu
Ndoa kuishi pamoja kujenga familia moja, kuamua kwa pamoja.
Harusi ni ile sherehe tu inajumuisha kamati, muziki, chakula na watu.
. Fungate watu hukaa kuzoeana kuanza rasmi maisha ya pamoja hasa kufurahia tendo bila bugudha haijalishi mliaanza ama mabikira. Hapa wanaanza kujua sasa maisha ni ya wao wawili.
 
Unapenda harusi ya gharama gani
10000000
1000000
100000

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…