Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Nafasi kama mwanafamilia, anayefanya mambo mengine hasa ya uzalishaji yaendelee kwani hukupa muda wa kwenda kuhangaika. Nafikiri walipwe 1/5 ya kipato ni wa muhimu
Ndoa nyingi zimevurugika sababu ya mahausi geli
Unadhani kosa liko wapi

DJ sepetu
 
Ndoa nyingi zimevurugika sababu ya mahausi geli
Unadhani kosa liko wapi

DJ sepetu
Sio kudhani! Kosa liko kwa wote mwanandoa anayetembea naye na house girl anayetembea na boss( labda kama alibakwa). Makosa ya mkeo hayatoi ruhusa ya kutembea na mtoto wa kazi anayekulelea watoto
 
Nafasi kama mwanafamilia, anayefanya mambo mengine hasa ya uzalishaji yaendelee kwani hukupa muda wa kwenda kuhangaika. Nafikiri walipwe 1/5 ya kipato ni wa muhimu
Fedha yako kubwa uliyowah shika ni kiasi gani

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…