Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Mimi ni mtu wa kuumia kwa muda na kuangalia wapi nimekose. Kama ni aina ya watu walionitia hasara nawaepuka. Ukikata tamaa umekwisha maisha yako ni magumu
Asante sana naenda nyumbani baadae my

DJ sepetu
 
Mama yangu sio mshauri mkuu namshirikisha mambo machache ya siri. Mama yangu hawezi ku argue na mume wangu. Mume anatakiwa amalizane na mimi kuepusha mizozo
Sasa kama ni mshauri mkuu, kwanini kila siku inamliza kwa vitabia vyako vya udokozi wa vitumbua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…