Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Umeona eeehhaiwezekan kbs shoga!... jiandae jibebyshe jilipueee
Nafanya regional au international betrayal. Haiwezi fikia hapo halafu mechi moja tu heavy basi
Siku nasaliti naenda mwenyewe member humu hawahusiki.Hata mm nafikiria kusakiti sikumoja itabidi madam tuongee chemba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama asali ipo haina shida. Mbona pengine hakuna mzinga kazi kung'atwa na nyukihahaha kuchonga mzinga kwaja !jiandae kisaikolijia
Ukigundua mumeo anatoka Na best friend maamuz yako ni yapiKwenye ndoa (imaginary) mimi ni mama nahahakisha amani inakuwepo, na act as a catalyst kutuliza ama kuchochea kulingana na mahitaji ama jambo lenyewe.
Pia kuwa mke na sio kushindania authority.
Sina uhakika sana kama ni wa kweli ' ana badilika badilika kama cdm'
Kama asali ipo haina shida. Mbona pengine hakuna mzinga kazi kung'atwa na nyuki
Kwakuwa best friend anamjua mume wangu sina haja ya kumkanya nampiga tukio heavyUkigundua mumeo anatoka Na best friend maamuz yako ni yapi
DJ sepetu
Usinigawe bure bahnahahahaha nakugawaaa
Usinigawe bure bahna
Lolote lakumtoa hiyo hamuLipi hilo tukio
DJ sepetu
Naweza kuwa naye, ila awe na akili ya maisha na awe tayari kujishighulisha. Kukaa tu kama mlemavu na usharobaro napiga chini fasterPesa je ina nafasi ktk mahusiano!
Unaweza kuwa Na mapenz Na mwanaume asiye Na pesa
DJ sepetu
Basi sawa twakungoja hiyo kesho, usiku mwema pia madam.Maswali mengine kesho asubuhi nkiwa njiani usiku mwema wote.