Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
historia ya kazi au maisha ya mahusiano na kujamiiana
Mmiliki wa bench mark production. She is also an entrepreneur.
Vipi kwa upande wa pili wa maisha kwenye mahusiano tangu kipindi cha nyuma hadi sasa?
Huyo dada madam rita namuona kama ana undugu na wolper ndio maana nimeuliza labda wana uhusiano wowote wa kindugu?
Naona kijana umempenda huyu mama. Kama umempenda mtafute muongee, hana hiyana. Atakupa tu, ila uwe smart kuomba mzigo.
She's very nice.
Ana watoto wawili according to interview yake aliifanya na FEMAje madam ana mtoto au watoto?
Huyo dada madam rita namuona kama ana undugu na wolper ndio maana nimeuliza labda wana uhusiano wowote wa kindugu?
Nasikia Ali Kibaka amewahi jisevia huo mzigo
Sasa huyo na ali nani mkubwa au unajua umri wake ni miaka mingapi?
Mahusiano alikuwa mpnz wa mmiliki wa TV station ambayo ilikuwa inaonyesha bongo star search
Si ana miaka 58 au?
Naona toka babu amwage huyu mama na BONGO STAR SEARCH nayo ikafanya. Huyu Babu noma.
Huyo dada madam rita namuona kama ana undugu na wolper ndio maana nimeuliza labda wana uhusiano wowote wa kindugu?