Babuu alimpandishia gharaama zakuonyesha kipindi chakeee coz nakumbuka pind bongo star search ilipo hamia tbc watuu walimuhojiii akasemaa kulekwinginee wamempandishia gharama za kuonyesha kipind chakee..
Ana mtoto mmoja, alimpata akiwa shuleni at the age of 10,sHuyo dada madam rita namuona kama ana undugu na wolper ndio maana nimeuliza labda wana uhusiano wowote wa kindugu?
Kwanini sasa inaoneshwa kituo gani?
Sio kwa kuadimika huko binamu Miss you too
Bora alivyoitoa TBC.. Maana mnaweza kua mnasubiri kipindi unashangaa leo kipindi kitachelewa .. Kuna kipindi cha kilimo cha mbogboga kwanza...
Sio kwa kuadimika huko binamu Miss you too
Bora alivyoitoa TBC.. Maana mnaweza kua mnasubiri kipindi unashangaa leo kipindi kitachelewa .. Kuna kipindi cha kilimo cha mbogboga kwanza...
Yani TBC wanaboaga yani hawana ratiba ya kueleweka, sijui vipindi vinaendeshwa na wanafunzi wa field ,yani hawaeleweki bora clouds kidogo
Wakati wa mahusiano inawezekana terms zilikua lege legeee.. Baadae baada ya break up mambo yakakazwa
Haaa Madam alikasirika kuona machache kavuta kitu hot hot K lyn baada ya kuachana Halafu ukiangalia K lyn na Madam Rita were besties back then.....
Mnhhhhhhhh

Huu uzi hauta amka kesho. Utakua CLOSED.
Si hiyo inaanza tena kwa kasi ya ajabu....
Ali Kiba ana miaka 46 Madam Rita 58 tatizo liko wapi?
Ila anaonekana mtamu sana huyo madamAliwahi kutoka na Reginald Mengi,
Pia amewahi kutoka na msanij Ali Kiba.. Alimfumania na demu fulani mapenzi yao yakaisha hapo
Ana mtoto mmoja, alimpata akiwa shuleni at the age of 10,s
hajaolewa nasikia anapenda viserengeti
story unga unga hadi utapata story yote, mi najua hivo tu lol
Ila anaonekana mtamu sana huyo madam
Hadi Wema mtamu ndugu yangu atashindwaje madam kuwa mtamu!!!!!
Ila anaonekana mtamu sana huyo madamAliwahi kutoka na Reginald Mengi,
Pia amewahi kutoka na msanij Ali Kiba.. Alimfumania na demu fulani mapenzi yao yakaisha hapo
Ahahahaaaa mkuu yawema sio kwamba imelegea sana?