Sio kwa kuadimika huko binamu Miss you too
Bora alivyoitoa TBC.. Maana mnaweza kua mnasubiri kipindi unashangaa leo kipindi kitachelewa .. Kuna kipindi cha kilimo cha mbogboga kwanza...
Naona toka babu amwage huyu mama na BONGO STAR SEARCH nayo ikafanya. Huyu Babu noma.
huyo dada alipataga majanga bahna aliuguaga wakati fulani hivi na gari yake iliunguaga moto ikabaki majivu ilikuwa ya bei ya juu sana alipata stress
ga...ga...ga!
Hivi lady gaga ni mwenyeji wa wapi vile?
ni dada yake na mchezaji maarufu wa zamani Tanzania,anaitwa hamis gaga "gagarino"
Ka hiyo wamezaliwa black and white?
Sipati picha kama unampiga bakora huyu mwanamuziki mwenye sauti nzuri, alaf alie kwa mahaba lazma uchanganyikiwe..!inawezekana madam rita alikuwa anapiga vidonge vya uzazi, machache kafundishwa katerero na bibie changanya na kelele za mahaba
hivi diamond akizeeka ule mdomo si utafika kifuani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]historia ya kazi au maisha ya mahusiano na kujamiiana