Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Habari zenu wanajamvi.
Lunch mmepata?
Leo nilikuwa nipo Youtube natazama kipindi cha Salama Na Madam Ritha.
Kuna sehemu moja ya mahojiano hayo, Madam Ritha kipindi anajibu swali la mtangazaji machachari, Salama Jabir alidokeza kuhusu gharama anazotumia kuandaa hicho TV kwa msimu mmoja.
Ritha alidokeza kuwa inamgharimu sio chini ya Milioni 700 ili kukamilisha msimu mmoja na mwanzoni alidokeza kuwa kiasi hicho hakitoshi.
Binafsi nimeona kama hicho kiasi ni kikubwa sana. Mimi ndio shamba au mnaonaje wanajukwaa?
Soma Pia: Bongo Star Search mnakosa mvuto
Nawasilisha.