Leo nilikuwa nipo Youtube natazama kipindi cha Salama Na Madam Ritha.
Kuna sehemu moja ya mahojiano hayo, Madam Ritha kipindi anajibu swali la mtangazaji machachari, Salama Jabir alidokeza kuhusu gharama anazotumia kuandaa hicho TV kwa msimu mmoja.
Ritha alidokeza kuwa inamgharimu sio chini ya Milioni 700 ili kukamilisha msimu mmoja na mwanzoni alidokeza kuwa kiasi hicho hakitoshi.
Binafsi nimeona kama hicho kiasi ni kikubwa sana. Mimi ndio shamba au mnaonaje wanajukwaa?
Uzuri wa bongo star search imeshakuwa brand kubwa, mwanzoni nafikiri pesa zilitoka mfukoni mwake ila kwa sasa wadhamini ndio wanaendesha hayo mashindano.
Anything inaweza isitoshe, inaweza ikatosha na ikabakia chenji ila hakuna mtu anafanya kazi ya Kanisa kwahio hapo lazima kuna fungu linabaki la faida yao (all in all inawezakana pia akawa ni muongo lazima aweke figure ya kuongezea umaarufu wa kipindi chake)
All in all make or break ya vitu kama hivi ni audience kama watu wakichoka au kupungua kuangalia na sponsors watakata kona

Mkuu sijakataa kuwa kuna watu wanamsapoti na wananufaika nyuma yake. Lakini something about the figure she mentioned, doesnot sit right with me.
Kwanza umaarufu wa BSS miaka ya hivi karibuni umepungua, zawadi ya mshindi ni ndogo mno ukilinganisha na zamani, hata production ya hiyo show ni ya kawaida sana, kuanzia stage na kila kitu.
Is it expensive, Yes lakini kuna kusema kuwa maandalizi yanagharimu Milioni 700 no