Madam Sepenga kujenga SHOPPING MALL Bagamoyo

Madam Sepenga kujenga SHOPPING MALL Bagamoyo

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Katika kuitikia wito wa kuwekeza nchini. Tanzania Sweetheart ameamua kujenga Shopping Mall kubwa mjini Bagamoyo
**Hongera Madam
images (1).jpeg
 
Wanawake kwa wanawake wanadharauliana sana, unasoma comment unashangaa, mwanamke akifanikiwa, mwanamke mwenzake ambaye hapendi mafanikio ya wanawake wenzie anaona kua amejiuza au ni "buzi" au "danga", amelipata...
Kwani hakuna wanawake wanaopata hela kihalali na kuwekeza ?!
Wakati mwingine unaona hufanikiwi mambo yako hayaendi unaungaunga tu kumbe una roho ya kichawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom