Madam sky Eclat

Joined
Feb 17, 2022
Posts
9
Reaction score
22
Kwangu mimi huyu ndio madam makini zaidi hapa JF,

Na ndio mtu niliemfuatilia zaidi hata kabla ya kuwa member rasmi hapa Jf mwaka huu.

Ninamkubali sana ,ni mwqnamke makini, na hekima sana ,,hata siku moja sijawahi kumuona akimjibu mtu shit,, na ikiwa utamjibu shit kwenye uzi wake ,,she will never reply.

She is very selective, she chooses her words wisely before ajaongea.

Hamjibu mtu unless,it is very necessary.

Ukisoma mada yake ni lazima utoke na kitu kipya,,

Before, nilihisi labda ni archtect, maana nilimkuta sana jukwaa la ujenzi,,lakini sijafanikiwa bado kuthibitisha hili.

She is very bright,,mara nyingi kama si mara zote anazungumza construtive ideas.

Sina maneno mazuri ya kutosha kumzungumzia madam sky eclat.

Lakini binafsi,kwa ufupi sana,,huyu ndie mwanamke makini na mwenye akili zaidi hapa Jf,

Isingekuwa kunizidi umri....God knows

Live long madam sky eclat.
 
mfuate Pm sasa muyajenge.....!! huenda ikawa zari la mentary !! in short hata mimi huwa namu admire sana yule madam

hoja zake zina mashiko sana ....kupitia yeye ndio naamin kwamba kuna madada vichwa!
 
Huyu lazima hata kua sio mswahili haja kulia hapa, karudi tu kutoka ughaibuni. Waswahili wenye heshima ni wachache hata akiwa na elimu na umri umeenda ukimtukana au kumkejeli ata kujibu nioooo nioo pia.
 
Sky Eclat
 
Usione vyaelea, vimeundwa

Mimi na Sky Eclat tulioana siku tuliyopata Kipaimara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…