Madame rita: Umejifunza nini kwenye haya ili kulinda uhai wa bss?

umesahau KAOLE SANAA GROUP walitoka ITV kwa mbwembwe kufika TBC tu kwisha, kommedy ya kina masanja inaelekea kuzima vile vile
 
Amuulize Kalala Jeremiah kama ile m5 alipewa yote... akiwa mkweli na akitaka atafunguka... amuulize yule binti aliyeshinda kwa kuimba taarabu....angalia kwa makini kama washindi karibia wote wa bss wana mahusiano mazuri na akina madam Ritha..jiulize nikwanini???
 

sitaki kuongelea kitu ambacho sina uhakika nacho lakini kama kweli amefungua case basi ukweli utajulikana.
 
umesahau KAOLE SANAA GROUP walitoka ITV kwa mbwembwe kufika TBC tu kwisha, kommedy ya kina masanja inaelekea kuzima vile vile

kweli kabisa asante kwa kukumbusha na ni wazi hawa hawajali.
 
Huyo ritha kajichokea zake hana dili sasa anagawa hadi kwa mayanki wauza unga. Ila aache kubwia unga.
 
kibaya zaidi siye wenye madishi ya ft6 tbc1 hatuioni kabisa tangu kipindi kile cha bunge.
 
BSS ndo kwa heri hivyo! Hakuna ubishi juu ya hilo. Angalia the comedy walivyodorora baada ya kwenda TBC1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…