Madanga ya China yampagawisha Faiza Ally atamani abadili uraia kabisa.

Yanayoendelea huko yahadithiwe tu usiombe kuona kwa macho. Ila ungeyajua mwanamke anayeenda China, Hong Kong, Macau au Thailand, Indonesia ni wa kuogopa sana
Wew ulichawahi fika China, yapi yanayoendelea huko?
 
Hii Habari umetunga
 
Yanayoendelea huko yahadithiwe tu usiombe kuona kwa macho. Ila ungeyajua mwanamke anayeenda China, Hong Kong, Macau au Thailand, Indonesia ni wa kuogopa sana
Yep. Ni kweli. Kuna kipindi nilipita anga hizo nikaona. Kuna wanawake wengi sana wanajiuza. Wafilipinsi, bila kusahau wathailand wenyewe, wachina, wahindi, waindonesia. Tukija kwa upande wa Afrika mashariki wapo wakenya, waganda na watanzania. Wateja ni watu wanaokwenda kununua mizigo na pia kuna wauza sembe wengi sana mitaa hiyo na wanahonga ghali kama mwanamke ni mzuri.
 
Wathailand ni kama tunavyosema Wahaya huko nyumbani.Kuna mitaa kabisa Maccau na Hong Kong mtu anakwambia kabisa twende kwa "Wathailand" kama anavyosema twende kwa "Wahaya" Mwananyamala au Temeke.

Wathailand ndio Malaya wa Asia,wauza uchi maarufu.Wana huduma zao za Thai Massage,hii ukiipata mzee ni balaa,unanyooshwa viungo mpaka unasikia mifupa inakunjuka.Wapo vizuri sana kwenye Massage tatizo ukiingia kwenye massage zao kama anataka kukuchuna huwezi toka Salama.
 
Ahaa. Ni kweli kabisa barafu . Nadhani ulishawahi kuhudumiwa kwani asifiaye mvua.... Halafu ni waaminifu sana kwenye suala la ukahaba. Wengi wao hawana makando kando yanayoendana na hii biashara. Kasoro yao moja niliyoiona ni kuwa kuna wale wanawake-wanaume wanaoitwa ''Ladyboy'', mtu ukiingia kichwa kichwa unaopoa dume-jike kwani walivyojibadilisha na kuwa warembo ni vigumu kwa mgeni kuwatambua. Ona hawa kwenye picha wote ni ma- Ladyboys. (picha kwa hisani ya google)
 

Attachments

  • 1555828313421.png
    152.4 KB · Views: 47
Mkuu hao nilikutana nao Bankok mwaka 2012...Wacha nikimbie
 
Nisaidie namba zao aisee
 
Miuno feni vp ipo?
Kweya pipa ushuke Bangkok Thailand. Kuna sehemu nyingi lakini moja unaweza kwenda Phuket. Huko kuna msururu wa night Clubs na Bar zinaitwa Go Go Bars. Zinafanya kazi usiku kucha na usiku kuna watu kutoka mataifa mengi sana wanakula maisha. Ni fedha yako tu ila chunga kuna wanaume waliojibadilisha wakawa wanawake warembo na kama wewe ni mgeni huwezi kuwajua. Wengine mpaka wamekata mikuyenge na badala yake wakapandikiza vipochi kama wanawake. Ni sehemu nzuri za kutembelea kusema ukweli kama noti ipo. Nakuacha na hii clip ujionee:
 
Thailand wana ubalozi Bongo? Au bado Nairobi?
 
Kati ya watu ambao nchi yetu ilipata hasara kuwa nao ni pamoja na huyu Dada![emoji51][emoji51][emoji51].
 

umeweka tafsiri tofauti na alichoandika huyo dada

umekosea sana mke

kasema "ange" na sio "ana"
 
Hivi Unaelewa maana ya "angekua ana danga" wapi kakubali kwamba anaenda China kudanga.
Mwanaume atakufataje kukuambia upuuzi wake kama haujiweki mikao ya kudanga? Huyo aseme anaendaga kudanga huko na kupewa hela za kuongeza mtaji asituambie ujinga sisi.

Yani from nowhere mdume ukufate uanze hadi kupanga nalo bei...how come? kuna vitu vingine haviitaji ule chumvi kuvitambua,sukari tu inatosha.
 
Jamani tafadhalini, huyu mtoa mada sio mwanaume wa Dar. Huyu katokea Mombasa, tuelewane kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…