Juzi wazee wa masauti walipiga burudani ya kufa mtu huko Ukonga Banana katika ukumbi wa "Wenge Garden Hall". Mcheza shoo wa Akudo akijituma vilivyo ili akonge nyoyo za mashabiki wake.
Ilibidi shabiki mmoja kwakukunwa na mcheza shoo huyu amtuze ipasavyo.