Madaraja 19 yaliyo kwenye maandalizi ya Ujenzi

Madaraja 19 yaliyo kwenye maandalizi ya Ujenzi

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Tangu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Jumla ya Madaraja makubwa kumi na tisa (19) yapo kwenye maandalizi ya kujengwa, madaraja hayo ni

Daraja la Godegode (Dodoma),
Daraja la Ugala (Katavi),
Daraja la Kamshango (Kagera),
Daraja la Bujonde (Mbeya),
Daraja la Bulome (Mbeya),
Daraja la Chakwale (Morogoro),
Daraja la Nguyami (Morogoro),
Daraja la Mkundi (Morogoro),
Daraja la Lower Malagarasi (Kigoma),
Daraja la Mtera (Dodoma),
Daraja la Kyabakoba (Kagera),
Daraja la Mjonga (Morogoro),
Daraja la Doma (Morogoro),
Daraja la Sanga (Songwe),
Daraja la Kalebe (Kagera),
Daraja la Ipyana (Mbeya),
Daraja la Mkondoa (Morogoro),
Daraja la Kilambo (Mtwara) na
Daraja la Chemchem (Singida

 
Wakoloni walijenga madaraja mangapi? anajenga kwa hela ake au kodi za watanzania? mnasifia vitu vya kipumbavu sn, umeamka na sehemu zako za siri kuja kuandika upumbavu wako hapa unajaza bure server ya watu. Shetani kabisa usiye na mkia
Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, akiendelea na spidi hii muda si mrefu nyumbu wote watakuwa wamewehuka vibaya sana.
 
Spidi ya kugawa rasilimali kwa waarabu.
Vyovyote vile itakavyokupendezeni kuropoka nyie akina nyumbu Bado hilo halitomrudisha nyuma katika kupambania maendeleo ya taifa letu. Zusheni, tukaneni kwa kiwango chochote kile. Vp kwani ulitaka tugawe kwa wazungu ndo ungejisikia vzr?!! Relax, hao wapo machimboni miaka na miaka.
 
Vyovyote vile itakavyokupendezeni kuropoka nyie akina nyumbu Bado hilo halitomrudisha nyuma katika kupambania maendeleo ya taifa letu. Zusheni, tukaneni kwa kiwango chochote kile. Vp kwani ulitaka tugawe kwa wazungu ndo ungejisikia vzr?!! Relax, hao wapo machimboni miaka na miaka.
Kugawa kwa wazungu au kwa waarabu yote ni sawa tu lakini kuna mengi hayaendi vizuri na wote mnaompigia chapuo ni wale mnaonufaika kwa nafasi alizowagawia.
 
Kilambo Mtwara hii si border na Msumbiji? Wanataka kuvuka mto Ruvuma tena kwenda Msumbiji?
 
Madaraja yote ya kagera yapo mto ngono kuanzia kamishango, kyabakoba na kalebe. Kamishango barabara ni ya kiwango cha lami mpaka hospital teule ya Lubya na Tarafa ya Nshamba ila lile daraja gari mbili haziwezi kupishana. Vivyo hvyo kwa daraja kyabakoba barabara ni ya lami kwenda Kamachumu ila magari mawili hayawezi kupishana.
 
Back
Top Bottom