bahatibahati
Member
- Jul 4, 2023
- 44
- 84
Naweza kuthibitisha Hilo kwamba ahadi ya serikali kupandisha watumishi wa umma Madaraja kawaida na kwa mserereko kwa MWAKA WA FEDHA 2023/2024 ni porojo tu kwani hakuna dalili yeyote inayoonyesha kufanya hivyo.
Watu mbalimbali wanatabainisha kwamba hawajui lengo la serikali kufanya vikao na kutoka taarifa kuhusu utekelezaji wa UPANDISHWAJI MADARAJA kwamba ni lazima ifikapo mwishoni kwa June 2024.
Za ndaaani zinasema wataanza kufanya propaganda kwamba mifumo ilicheza na kusababisha kutotekelezwa ahadi walizotoa.
Ila hii itasababisha Ari ya utendaji kazi kupungua.
PIA SOMA
- Uongo wa Serikali katika kupandisha watumishi madaraja mwaka wa fedha 2023/2024
- MWAKA HUU WA FEDHA 2023/2024 HAKUNA KUPANDA MADARAJA NA MSEREREKO WATUMISHI WA UMMA, HAKIKA WAMEINGIZWA CHOO CHA KIKE