Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,400
- 2,010
Katika mgawanyo wa vipato duniani kuna madaraja yanayoainisha makundi tofauti kutegemea na vipato vyao
Kwa marekani hapa chini ni mchanganuo wa hayo madaraja kwa mwaka (Annually income classes) na makampuni huko US wanatumia sana haya madaraja kujua purchasing power za watu
Daraja la chini (lower class): Kaya zilizo na mapato ya chini ya $30,000
Tabaka la kati la chini (lower middle class): Kaya zilizo na mapato kati ya $30,001 na $58,020
Tabaka la kati (middle class): Kaya zilizo na mapato kati ya $58,021 na $94,000
Tabaka la kati la juu🙁 upper middle class) Kaya zilizo na mapato kati ya $94,001 na $153,000
Tabaka la juu (upper class): Kaya zilizo na mapato zaidi ya $153,000
Nachokiona lower class ya US kwa tanzania ni mtu mwenye kipato kizuri tu ingawa sijui nimweke kundi la kati au la juu
Naomba wabobez watupe mchanganuo kwa TZ anayepokea around 50m kwa mwaka (roughly 4m+ kwa mwezi) huyu ni lower ama middle