Kumekuwa na tetesi kuwa kuanzia mwaka 2015 serikali itatoa posho ya madaraka allowance kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata endapo watakuwa na elimu stahiki.
Yaani Mwl. Mkuu awe na Stashahada ya elimu huku MEK na Wakuu waa shule za Sekondari wakitakiwa wawe na Shahada. Mwenye taarifa zaidi atusaidie.​