Rahma Salum
Member
- Sep 7, 2020
- 30
- 59
Katiba ya Tanzania ya mwaka 1997, inaeleza majukumu ya mbunge kwa jimbo lake kama ifuatavyo:-
(a) Kumuuliza Waziri yeyote swali lolote kuhusu mambo ya umma katika Jamhuri ya Muungano ambayo yako katika wajibu wake.
(b) Kujadili utekelezaji wa kila Wizara wakati wa Mkutano wa Bunge wa kila mwaka wa Bajeti.
(c) Kujadili na kuidhinisha Mpango wowote wa muda mrefu au wa muda mfupi unaokusudiwa kutekelezwa katika Jamhuri ya Muungano na kutunga Sheria ya kusimamia utekelezaji wa mpango huo.
(d) Kutunga Sheria pale ambapo utekelezaji unahitaji kuwapo Sheria.
(e) Kujadili na kuridhia mikataba yote inayohusu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ambayo kwa masharti yake inahitaji kuridhiwa.