Tetesi: Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana. Je, Lukuvi kumpiku Majaliwa?

Tetesi: Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana. Je, Lukuvi kumpiku Majaliwa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Nimeuliza ili kupata majibu baada ya tetesi kunifikia, naomba mwenye kujua zaidi atueleweshe.

Na wala haishangazi, hii ni kwa vile uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti, anayeanza siyo anayemaliza.
 
Nimeuliza ili kupata majibu baada ya tetesi kunifikia , naomba mwenye kujua zaidi atueleweshe.

Na wala haishangazi, hii ni kwa vile uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti, anayeanza siyo anayemaliza.
Huyu ambaye alizungumza kanisani kuwa Tanganyika inaikalia Zanzibar kwa sababu Majority ya watu wa huko ni Waislamu?

Huyu na Jiwe ni walewale tu, wadini wa kutupwa!

Lukuvi na Majaliwa hawapishani kiutendaji but Lukuvi ni harsh zaidi, Kwa vile ni swahiba wa muda mrefu wa mkuu, huenda akamwachia kiti 2025 so lazima awe kwenye better position, istoshe Lukuvi yupo aware Sana na miradi mizito ya mkuu ambayo kimsingi hata 2025 haitakuwa imekamilika.

Hivyo ili ikamilike inahtaji atayepokea kijiti awe more experienced kwenye serikali kitu ambacho majaliwa anakosa lakni Lukuvi anacho. Lakn mkuu ulidai Lissu asipoapishwa bas ndo mwisho wa tz, vip mbna thread zako zinaonyesha tz inasonga mbele?
 
Lukuvi na majaliwa hawapishani kiutendaji but Lukuvi ni harsh zaidi , Kwa vile ni swahiba wa mda mrefu wa mkuu , huenda akamwachia kiti 2025 so lazima awe kwenye better position, istoshe Lukuvi yupo aware Sana na miradi mizito ya mkuu ambayo kimsingi hata 2025 haitakuwa imekamilika , hvyo ili ikamilike inahtaj atayepokea kijiti awe more experienced kwenye serikali kitu ambacho majaliwa anakosa lakni Lukuvi anacho. Lakn mkuu ulidai Lissu asipoapishwa bas ndo mwisho wa tz vip mbna thread zako zinaonyesha tz inasonga mbele.
Hakuna waziri mkuu aliewahi kuwa Rais Tanzania

Ukiteuliwa uwaziri mkuu maana yake hutakuja kuwa Rais na hutoshi kuwa Rais
 
Lukuvi na majaliwa hawapishani kiutendaji but Lukuvi ni harsh zaidi , Kwa vile ni swahiba wa mda mrefu wa mkuu , huenda akamwachia kiti 2025 so lazima awe kwenye better position, istoshe Lukuvi yupo aware Sana na miradi mizito ya mkuu ambayo kimsingi hata 2025 haitakuwa imekamilika...
Kwa akili yako nchi ambayo mitandao imezimwa unadhani inasonga mbele?
 
Wewe dada mapema hii umesha nyoosha na mikono, nilikuwa nakuona Kamanda kwelikweli kumbe ni Kamanda nyuma ya keyboard tu.

Kamanda wa kweli atabaki kuwa Mbowe tu ambae angalau amejaribu kuonyesha ukamanda wake, nyie Hawa makamanda JF ni wanafiki na wapiga kelele wa online tupu Wala hamna faida ndani na nje ya Chama.
 
Nimeuliza ili kupata majibu baada ya tetesi kunifikia , naomba mwenye kujua zaidi atueleweshe.

Na wala haishangazi, hii ni kwa vile uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti, anayeanza siyo anayemaliza.
Kaulize Twitter kwa wambeya wenzio

Uwatagi Lisu, Zito, Seif Sharif Hamad, Maria Sarungi, Balozi wa Marekani, na nk.
 
Lukuvi na majaliwa hawapishani kiutendaji but Lukuvi ni harsh zaidi, Kwa vile ni swahiba wa mda mrefu wa mkuu , huenda akamwachia kiti 2025 so lazima awe kwenye better position, istoshe Lukuvi yupo aware Sana na miradi mizito ya mkuu ambayo kimsingi hata 2025 haitakuwa imekamilika , hvyo ili ikamilike inahtaj atayepokea kijiti awe more experienced kwenye serikali kitu ambacho majaliwa anakosa lakni Lukuvi anacho. Lakn mkuu ulidai Lissu asipoapishwa bas ndo mwisho wa tz vip mbna thread zako zinaonyesha tz inasonga mbele.
Majaliwa akiukosa Uwaziri Mkuu Kwa awamu hii litakuwa ni pigo kubwa sana kwake Kisaikolojia.
 
Wewe dada mapema hii umesha nyoosha na mikono, nilikuwa nakuona Kamanda kwelikweli kumbe ni Kamanda nyuma ya keyboard tu.

Kamanda wa kweli atabaki kuwa Mbowe tu ambae angalau amejaribu kuonyesha ukamanda wake, nyie Hawa makamanda JF ni wanafiki na wapiga kelele wa online tupu Wala hamna faida ndani na nje ya Chama.
Kivipi? mbona kama umekurupuka tu, hivi unaelewa maana ya uzi huu?
 
Jiwe kwa sasa alivyo juu ya Katiba anaweza akamchagua yeyote atakayemrithi na hakuna wa kupinga akiamua
 
Anafikiri nchi inasonga mbele kwa makalio. Hajui hasara nchi iliopata kwa kuzima mitandao kwa siku 4 za mwanzo ni 33billion.

Hao jamaa wa lumumba kila kitu wao ni kuunga mkono. Wanapelekwa kama ng'ombe.
Lini nyie mkawa na huruma na hii nchi? Mnaonea huruma billion 33 at the same time mnaomba incentive from abroad zikate, sku zote unafiki ni kama dhambi ya uchawi
 
Back
Top Bottom