Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu ambaye alizungumza kanisani kuwa Tanganyika inaikalia Zanzibar kwa sababu Majority ya watu wa huko ni Waislamu?Nimeuliza ili kupata majibu baada ya tetesi kunifikia , naomba mwenye kujua zaidi atueleweshe.
Na wala haishangazi, hii ni kwa vile uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti, anayeanza siyo anayemaliza.
Hakuna waziri mkuu aliewahi kuwa Rais TanzaniaLukuvi na majaliwa hawapishani kiutendaji but Lukuvi ni harsh zaidi , Kwa vile ni swahiba wa mda mrefu wa mkuu , huenda akamwachia kiti 2025 so lazima awe kwenye better position, istoshe Lukuvi yupo aware Sana na miradi mizito ya mkuu ambayo kimsingi hata 2025 haitakuwa imekamilika , hvyo ili ikamilike inahtaj atayepokea kijiti awe more experienced kwenye serikali kitu ambacho majaliwa anakosa lakni Lukuvi anacho. Lakn mkuu ulidai Lissu asipoapishwa bas ndo mwisho wa tz vip mbna thread zako zinaonyesha tz inasonga mbele.
Kwa akili yako nchi ambayo mitandao imezimwa unadhani inasonga mbele?Lukuvi na majaliwa hawapishani kiutendaji but Lukuvi ni harsh zaidi , Kwa vile ni swahiba wa mda mrefu wa mkuu , huenda akamwachia kiti 2025 so lazima awe kwenye better position, istoshe Lukuvi yupo aware Sana na miradi mizito ya mkuu ambayo kimsingi hata 2025 haitakuwa imekamilika...
Naona sasa umeshanyooka! Hakuna kutisha watz tena!kwa akili yako nchi ambayo mitandao imezimwa unadhani inasonga mbele?
Waswahili walisema 'kuchamba kwingi mwishoe unarudi na puupu', maji yanaisha kabla hujamaliza 🏃♂️🏃♂️🏃♂️Lakn mkuu ulidai Lissu asipoapishwa bas ndo mwisho wa tz vip mbna thread zako zinaonyesha tz inasonga mbele .....
Kaulize Twitter kwa wambeya wenzioNimeuliza ili kupata majibu baada ya tetesi kunifikia , naomba mwenye kujua zaidi atueleweshe.
Na wala haishangazi, hii ni kwa vile uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti, anayeanza siyo anayemaliza.
Majaliwa akiukosa Uwaziri Mkuu Kwa awamu hii litakuwa ni pigo kubwa sana kwake Kisaikolojia.Lukuvi na majaliwa hawapishani kiutendaji but Lukuvi ni harsh zaidi, Kwa vile ni swahiba wa mda mrefu wa mkuu , huenda akamwachia kiti 2025 so lazima awe kwenye better position, istoshe Lukuvi yupo aware Sana na miradi mizito ya mkuu ambayo kimsingi hata 2025 haitakuwa imekamilika , hvyo ili ikamilike inahtaj atayepokea kijiti awe more experienced kwenye serikali kitu ambacho majaliwa anakosa lakni Lukuvi anacho. Lakn mkuu ulidai Lissu asipoapishwa bas ndo mwisho wa tz vip mbna thread zako zinaonyesha tz inasonga mbele.
Kivipi? mbona kama umekurupuka tu, hivi unaelewa maana ya uzi huu?Wewe dada mapema hii umesha nyoosha na mikono, nilikuwa nakuona Kamanda kwelikweli kumbe ni Kamanda nyuma ya keyboard tu.
Kamanda wa kweli atabaki kuwa Mbowe tu ambae angalau amejaribu kuonyesha ukamanda wake, nyie Hawa makamanda JF ni wanafiki na wapiga kelele wa online tupu Wala hamna faida ndani na nje ya Chama.
Kati ya mimi na wewe unayetumia VPN ku like nyuzi za Magufuli mtu aliyefungia mitandao nani kanyooka ? kwa taarifa yako sisi hatujawahi kukata tamaa na hatutakuja kukata tamaa hadi ccm ing'olewe kwa halali ama kwa haramuNaona sasa umeshanyooka! Hakuna kutisha watz tena!
Anafikiri nchi inasonga mbele kwa makalio. Hajui hasara nchi iliopata kwa kuzima mitandao kwa siku 4 za mwanzo ni 33billion.kwa akili yako nchi ambayo mitandao imezimwa unadhani inasonga mbele ?
Right. Isipokuwa Mwl. Nyerere japo si kwa mfumo wetu wa sasa.Hakuna waziri mkuu aliewahi kuwa Rais Tanzania
Ukiteuliwa uwaziri mkuu maana yake hutakuja kuwa Rais na hutoshi kuwa Rais
Lini nyie mkawa na huruma na hii nchi? Mnaonea huruma billion 33 at the same time mnaomba incentive from abroad zikate, sku zote unafiki ni kama dhambi ya uchawiAnafikiri nchi inasonga mbele kwa makalio. Hajui hasara nchi iliopata kwa kuzima mitandao kwa siku 4 za mwanzo ni 33billion.
Hao jamaa wa lumumba kila kitu wao ni kuunga mkono. Wanapelekwa kama ng'ombe.