Madaraka ya Rais katika Katiba mpya!

Gabriel Jimmy

Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
23
Reaction score
3
Jamani wana jf katika katiba mpya mnashauri nni kuhusiana na madaraka ya Rais!!!!!????
 
Kwa kweli, Rais abaki na madaraka yake tu kwani hakuna waaminifu na wanaofuata Integrity katika kuifanya hiyo kazi kama endapo Rais atapunguziwa hayo madaraka yake! According to me and not necessary to be taken!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…