lupasulwisye
Senior Member
- Sep 5, 2012
- 104
- 21
Katiba itamuke wazi kuwe na taasisi maalumu za kuteua jaji mkuu na majaji wa mahakama kuu,kueua makatibu wakuu wa wizara,mkuu wa majeshi,polisi,magereza,wasiteuliwe na raisi,vilevile wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma wasiteuliwe na raisi.hii itasaidia watumishi kufanya kazi zao bila kupendelea chama kitakachoshika madaraka ya nchi hii.