Habarini wakuu,
Naomba kufahamu kuhusu madaraka ya wenyeviti wa bodi kwenye mashirika/taasisi za umma hasa kwenye ajira.
Je, mwenyekiti wa bodi anayo mamlaka ya kuajiri au kufanya recommendation ili mtu aajiriwe kwenye taasisi yake bila tangazo la ajira?
Kuna ubishani tu kijiweni kwetu, nimekuja hapa kupata ufafanuzi zaidi.