Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu, ila nimeandika kwa msukumo fulani kutoka awamu ya tano ya uongozi katika nchi yetu.
Wakati wa awamu ile walitokea watu watukutu ambao hawakujali haki za wenzao na Kuna wakati waliwafanyia binadamu wenzao vitendo unaweza kuhisi sio binadamu wenzao.
Kifupi walikuwa juu ya Sheria,mfano Makonda na Sabaya.
Wapo wakuu wa mikoa waliotenda mema kama Mtaka hakuna mtu anae msema kwa mabaya daima anasemwa kwa mazuri.
Tunapokuwa na madaraka tutende kwa haki ili dunia itukumbuke kwa mema sio kwa mabaya na tukumbuke madaraka yanapita.
Nimeandika Uzi huu kureflect kinachoendelea kwenye Kesi ya Mhe,Mbowe na wenzake mara mashahidi kafanya hivi mara hatutampata mwingine mashahidi wako almost 20 ameugua mmoja hatuwezi kuwapata wengine kesho? Hadi tuahilishe Kesi huku watu wanateseka mahabusu? Is this fair? .
Mlio Kwenye mamlaka na madaraka mkumbuke dunia ni tambala bovu na hakuna aijuaye kesho yake.Tutende kwa haki hapa Duniani tunapita tu tusiwatendee wenzetu yasiyostahili.