Madarasa mawili wasomea chumba kimoja

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,325


Wanafunzi wa darasa la pili na tatu wa shule ya Msingi Magwalasi katika Kata ya Rujewa, wilayani Mbarali, mkoani Mbeya wakiwa darasani wakiendelea na masomo kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa shule hapo imewalazimu chumba kimoja kutumiwa na wanafunzi wa madarasa mawili kwa kila darasa kugeukia upande wake kama walivyokutwa na mpiga picha jana.


Soma zaidi: Madarasa mawili wasomea chumba kimoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…