Madawa feki yasambazwa Morogogo

Madawa feki yasambazwa Morogogo

Inkognito

Member
Joined
Feb 13, 2011
Posts
86
Reaction score
108
Kuna tetesi kuwa madawa yaliyokwisha muda wake yanaendelea kusambazwa katika mikoa ya Tanzania na yameanzia Morogoro, lengo ni kuendelea kuziuza ili kuongeza pato la taifa linaloonekana kuyumba kutokana na serikali kuelemewa na mzigo wa madeni na fidia za kifisadi ikiwemo dowans.
 
Back
Top Bottom