Madawa ya kulevya ni Donda Ndugu hapa Nchini.

Madawa ya kulevya ni Donda Ndugu hapa Nchini.

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
54,894
Reaction score
64,043
Salama wana jf wote !

Ni ukweli usiofichika pia asilimia kubwa sana ya Watanzania nyoyo zao zinahuzunika sana hasa hili tatizo la madawa ya kulevya kuonekana kuishinda Serikali kabisa.

Tumeona Oparesheni nyingi sana hapa Tanzania.zikitekelezwa,hivi hili jambo mbona kama linafumbiwa macho na Viongozi wetu ?

Tangu mwaka huu uanze wa 2013 na mpaka sasa tunapoelekea kuumaliza huu mwaka na kwa Kibari cha Mungu aturuhusu tuuone 2014
Watanzania wengi sana wamekamatwa na madawa ya kule tunaweza sema kila pembe ya Dunia hii.

Orodha ni ndefu sana ya vijana waliokamata kwa msaada wa members wote humu ndani tusaidiane kuorodhesha majina ya wote waliokamatwa kwa Mwaka huu.

Lakini hivi tunaweza kusemaje sasa ni kuwa Serikali imeshindwa kazi ama walioko Serikalini ndiyo wanaoingiza hizo dawa ili kuuwa nguvu kazi ya Taifa hili ?

Karibuni tuufunge mwaka kwakutoa tathimini zetu kuhuse Madawa haya hatari sana.
 
Back
Top Bottom