Chief nduna songea
Member
- Jul 30, 2018
- 41
- 75
Hatari sanaCrystal meth ni moto wa kuotea mbali.
Simon Ademisi ameshajibu hapo juu mkuuHizi drugs zinajulikana matokeo yake hua sio mazuri But kwanini watu hujiingiza huko? Tena unakuta wengine ni matajiri na wasomi!
Asee pisi kali sana, sema bas tuHua nasikitika sana nikisoma habari hizi na kuona picha nitazidi kuwaombea waache na warudi kwenye misingi bora.
Yuko ufaransa kwa sponsaHata dada yetu RC aliporomoka sana, sijui hata sasa yupo wapi?
Hata Nguvu za kutombwer Hana uyu[emoji3525]Utakuta ili ku fix uraibu wake anadanga na Wanaume kumi kwa siku.
Watu huwa wanaamini wana control hawawezi kuwa mateja, kumbe huko ni tofauti na beer, ukianza ngumu kuacha, ubongo hausahau Ile hali!Hizi drugs zinajulikana matokeo yake hua sio mazuri But kwanini watu hujiingiza huko? Tena unakuta wengine ni matajiri na wasomi!
Mze wa Makontena ya China (Ridhiwani Kikwete) anacheka tu kama hataki vile.Suzy Perez alikuwa mmoja wa vixens wa miaka ya 2000 mapema. Mwanamitindo huyo mzaliwa wa Dominika alijitokeza akiwa na nywele ndefu, nyeusi, rangi ya caramel, na mwili wa kuvutia Suz perez alikuwa mcheza densi mbadala wa Jennifer Lopez na alifanya kazi na P Diddy. Suzy pia alikuwa jumba la kumbukumbu la mpiga picha wa gazeti, akitokea kwenye kurasa za mbele za maduka kadhaa.
Kwa bahati mbaya, maisha ya Suzy Perez yaligeuka kuwa mabay zaidi; masuala ya afya ya akili na uraibu wa dawa za kulevya vilimchochea kudorora
View attachment 2200549
View attachment 2200550
View attachment 2200551
View attachment 2200552