Madawa yametuharibia hiki kipaji

Madawa yametuharibia hiki kipaji

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Ukims

ikiliza huyu Rashidi utagundua ni mtu mwenye kipaji kikubwa na halisi. Bahati mbaya tu madawa ya kulevya yamekatisha mafanikio ya kipaji chake
 
Umaarufu kazi sana kuishi nao na kuendana na mabadiliko
 
nay wa mitego kuna ngoma aliimbaga "umarekani mwingi mwisho mnakula unga"
 
Kingine hiki hapa
FB_IMG_1706057580255.jpg
FB_IMG_1706057685923.jpg
FB_IMG_1706075675666.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom