Made in East Africa: electro products n farm equipments

Status
Not open for further replies.
Go..go..go..Tanzania, wewe ndio dira ya East and Central Africa.
Cha ajabu hii thread hamna ana-comment! Hii maneno ni noma. Naskia naskia Rostam anatangaza massive investment soon baada ya kujitoa Vodacom! 😅
 
Cha ajabu hii thread hamna ana-comment! His maneno ni noma. Naskia naskia Rostam anatangaza massive investment soon baada ya kujitoa Vodacom! [emoji28]
Hii Sera ya viwanda ya Magufuli itafanikiwa sana, kama kuna eneo ambalo ninamvulia kofia Magufuli ni hili la viwanda, litakua na athari kubwa chanya katika uchumi wa Tanzania.
 
Hii Sera ya viwanda ya Magufuli itafanikiwa sana, kama kuna eneo ambalo ninamvulia kofia Magufuli ni hili la viwanda, litakua na athari kubwa chanya katika uchumi wa Tanzania.
Mi ninachopenda sera yake ni sio blahblah tu, bali unaona anavyo-invest pia kwenye miundombinu ya ku-support sera yake.
 
Mi ninachopenda sera yake ni sio blahblah tu, bali unaona anavyo-invest pia kwenye miundombinu ya ku-support sera yake.
Hiyo ni kweli, pale alipoiambia mifuko ya mifuko ya jamii kama NSSF, PPF, Kwamba waache kuwekeza katika kujenga majengo ya kupangisha mijini, badala yake hizo peza wawekeze katika ujenzi wa viwanda, ndipo nilipogundua huyu jamaa kichwa yake sio ya karine hii, anafikiria mbali sana.
 
Ilizuka mtindo wa kujenga malls ambazo obvious shelfs zake zingejaa bidhaa za nje!
 
Cha ajabu hii thread hamna ana-comment! Hii maneno ni noma. Naskia naskia Rostam anatangaza massive investment soon baada ya kujitoa Vodacom! [emoji28]

Magu atafanikiwa sana na bado mafanikio yanakuja cha maana ni uvumilivu tu. Ngoja amalize hiyo SGR na stiglar george wale waliokuwa wanambeza wataduaaa
 
Vimetengezwa china vimepigwa label ya Mo.
Ofcourse parts come from overseas but assembled in Tanzania. A step to the right direction. Plenty of raw materials in the country that manufacture those parts. With the mining industry growth no more than later some parts will be manufactured in the country!
 
Samahani kuuliza sio ujinga,hivyo vifaa hapo juu vimetengenezwa kwenye viwanda gani hapa Tanzania?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…