Made in Tanzania

Wazo zuri Sana. Inabidi Waziri wa Biashara na Waziri wa Uwekezaji waje kichota madini hapa. Big up Sana mtanzania.
 
Hizi ndo fikra Sasa.
Kweli akili kubwa inahirajika
 
Chartgpt ktk ubora wake.
 
Serikali isikubali kuingia mkataba wa usd billion 42 za mkopo kwa ajili ya mradi mmoja tu wa kutengeneza natural gas refinery

Mfano usd billion 42 unaweza tengeneza miradi ifuatayo na itakua na faida kubwa sana
  • Aluminium smelter
  • Copper smelter
  • Pig iron smelter
  • Glass smelter
  • Spinning
  • Paper pulp
  • Oil refinery
  • Petrochemical refinery
  • Megawatts 8000 za umeme
 
Sikukatishi tamaa.
Lakini je, umeweka bajeti ya 10%??
 
Kwangu mimi, hii ni mojawapo ya top 10 thread kwangu binafsi ambazo nimeshazisoma tokea nijiunge JF.

Kwa uongozi huu uliopo sasa ambapo watu wanafikiri kupiga tu na müştereğe kwa kodi zetu, sidhani kama utaeleweka.

Mawazo kama haya yanahitaji upate ushirikiano. Tafuta watu wengine wenye mawazo kama haya muungane cheche za kuamsha Taifa zianze.

Kuna shida kubwa sana ya rasilimali watu hapa nchini Hapo ndo pa kwanza kabisa. Maana elimu yetu haiwaandai wahitimu kuwa na uwezo wa kufanya hizo kazi.

Skilled labor recruitment hujazungumzia. Au utaajiri Wakenya?
 
Niwagumu ila watashawishiwa waelewe na wataelewa
 
Project proposal inaandaliwa kila moja itapitia hatua zifuatazo
  1. Itatafutwa namna ya kupata hela za kujenga na kuzirudisha bila kuiumiza nchi
  2. Itapelekwa serikalini kujadiliwa
  3. Baada ya kupata muhafaka Project proposal itaenda kwa mwanasheria mkuu
  4. Baada ya kupitishwa na mwanasheria mkuu itapelekwa kwenye baraza la mawaziri
  5. Baada ya kupitishwa na baraza la mawaziri itapelekwa bungeni
  6. Baada ya kupitishwa na bunge ita-sigiwa na Rais kama sheria
  7. Baada ya kusainiwa na Rais kazi itaanza
"Inyeshe mvua, jua liwake hii miradi 12 lazima ikamilike"
 
Sorry je Tanzania tunayo aluminium?
 
Hiki kiatu ukikaa juani nusu saa lazima mguu uwake moto.
 
Madini yaliyopo congo kama nchi tunatakiwa kuyaongezea thamani kwa kujenga smelter
Nakuunga mkono kwa maoni yako, ni mazuri mno ni maono ya kimapinduzi, Viwanda mama, lakini ni hekima kutengeneza giant plant kwa bidhaa ambazo tunazo nchini, kumtegemea jirani ni uwendawazimu hutafahamu wakati mwingine anaamkaje?
N. B, wazee wa PPP, Walione hili. (ili tujenge bila kujiumiza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…