husipoipenda Manchester United shauri yako..poleni sana washabiki wa THE GOONERS wazee wa chenga twawala...sasa ivi wanajidai kuwa wao wanatengeneza faida kubwa na hawaoperate under loss and debts kama Man U!!!
Sasa, kwani football zawadi yake ni kupata faida au makombe?!?!
Teh teh teh teh !!!:closed_2: