Madee achezea Virungu uwanja wa Taifa kwenye mechi ya SIMBA vs YANGA

Mhh!!! Si anajiitaga raisi huyu? Alaf apigwe tena??
 
Rais wa manzese hana ulinzi!?
Maana niliona kile cheo walikuwa wana gombania kabisa na Ney, kama ni hivo basi aache u prezidaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…