Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Huyu jamaa aliwahi kusema ile ngoma ya "Pombe Yangu" ilimuingizia zaidi ya Tzs.100million, sasa inakuaje anakua Marioo tena?Siku akiacha kuwa maliyoo mambo yatakuwa yamebadilika. Mjini hapa kuna mambo sana. Idadi ya wanaume wanaolelewa na kina mama inazidi kukua kwa kasi. Hata kwa hawa wanaojiita masupastaa
Hata wewe unaweza kusema kazi zako zinakuingizia milioni 200 nani atakubishia?!Huyu jamaa aliwahi kusema ile ngoma ya "Pombe Yangu" ilimuingizia zaidi ya Tzs.100million, sasa inakuaje anakua Marioo tena?