Madee amedai angekuwa ameathirika na matumizi ya Madawa ya kulevya, angewataja wanaomuuzia

Daah hvi mpka wanakuwa wanatumia wanakua mbali na jamii au? mana mpka wanaharibika ndo wanajitokeza hadharani.
 
Wasanii waache unafki.....wanangata na kupuliza

Ovaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…