ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
inalipa sana tu mkuuSingle moja unapata Benz? Kumbe Bongo Fleva inalipa, ngoja na Mimi nianze kuandika mistari
Akamuulize Juma nature kipindi kile yuko tmk wanaume akauza kinoma kazi zake mwisho wa siku said fella akaishia kum zawadia Nature Benz c-class la msauz, hahah na Hakuna malipo mengineHongera ila asiishie kumpa benzi tu ampe walau na mawazo ya kufanya jambo litakalo muingizia japo sh 200 kwa siku achilia mbali na mziki
zawadi mtu apangiwi ila ni vyema ukajua imegusa kiasi gani na upendo kiasi gani ameonyesha big up kwa zawadi that's all i can say.Hivi gari ndio zawadi nzuri kubwa kuliko?
Sasa wameamua kumfariji, kwa nini wasimjengee nyumba?
Zawad ni zawadi na thaman hutegemea wahusika. Mwingine akipewa ppch analia, mwingine akipewa ugali boobge la zawadi. We ukipewa jet labda ndio itakua zawadi, eti!Hivi gari ndio zawadi nzuri kubwa kuliko?
Binadamu hatuna jema,kila kitu ni kukosoaSasa wameamua kumfariji, kwa nini wasimjengee nyumba?
Ile benz alipewa Nature na wahindi kama sikosei na sio Fela na hapo ni baada ya kugundua mauzo ya album yake yameibiwa na hao wahindi wakajua nature akienda mahakamani itakula kwao ,wakaishia kumpa lile benzi na hela ,mzaramo yule atake nini kingine maskini ,Akamuulize Juma nature kipindi kile yuko tmk wanaume akauza kinoma kazi zake mwisho wa siku said fella akaishia kum zawadia Nature Benz c-class la msauz, hahah na Hakuna malipo mengine
Mawazo yako ya hovyo. Mtu hapangiwi zawadi ati!Sasa wameamua kumfariji, kwa nini wasimjengee nyumba?
Mmmmh mbn nna gari lakn hainindotishiBig up Madee, gari ndoto ya wengi. Wanajibaraguza tu!
Unamiliki Benzi halafu umepanga humba kimoja Tandale,Baada ya dogo Janja kukaa kwa kimya kirefu hatimaye siku za karibunu alirudi tena katika game ya muziki na kutoa hit single yake iitwayo My life
Leo katika Alah za Roho clouds Fm dogo Janja akiwa katikati ya Interview amepigwa suprize ya Gari toka kwa Madee gari aina ya Benzi kwa kutoa wimbo wake huo
Dogo Janja ameshindwa kujizuia na kujikuta analia sana halio ilo pelekea interview yake isimame kwa Muda ingawa Diva anasema alijua toka mchanakwanini asingekununulia kiwanja na matofali labda?
Hongera Madee endelea na Moyo huo huo hongera Dogo Janja kumbuka mguu mnyoofu haukubalu kwenye kiatu kilicho pinda!