Madee atoa neno zito sana kwa Dogo Janja na Sheila (Irene Uwoya)

[emoji441][emoji445]Kwanza Mungu kakubless,baby faceee,umenitoa stress weeeee
Ooooh oooh mama
Nikupeleke ngarenaro oooo oooo mama..kwa mama yake janjaro ooo ooo mama
Usiskize mboyoyo za hawa maboya wanaosema namtamani uwoya[emoji445][emoji441]

For some reasons najikuta nafurahia hii new couple[emoji119]
 
Yaani hapa ndo nashindwaga kuelewa maana halisi ya mapenzi napoona vitu kama hivi vinahapeni
 
Mimi kwa, uwoya napenda macho na ile sauti yake tuuu.
 
Muda ndo utasema kuna kosa ama la,
Lkn inapendeza sana kuoa mke wa UJANA wako,kuna vitu na vijitabia na mabadiliko ya mwwnza wako unapaswa kuyaona ww km baba wa familia ili hapo baadae Uwe na la kusema kuhusu mkeo na use na la kuwarekebishia na kuwashauria wanao,sasa unapata mke ambae yeye ndo anaona ukuaji na mabadiriko yako si aibu hii,
Mke alisha kuwa sugu wewe bado mtetea
 
Uko sahihi mkuu.
 
Haya mam

Umeongea poa sana ndugu, haya mambo mengine inabidi uangalie huko pa kwanza alitokaje tokaje?
 
Muda ndo utasema kuna kosa ama la,
Lkn inapendeza sana kuoa mke wa UJANA wako,kuna vitu na vijitabia na mabadiliko ya mwwnza wako unapaswa kuyaona ww km baba wa familia ili hapo baadae Uwe na la kusema kuhusu mkeo na use na la kuwarekebishia na kuwashauria wanao,sasa unapata mke ambae yeye ndo anaona ukuaji na mabadiriko yako si aibu hii,
Mke alisha kuwa sugu wewe bado mtetea
umeandika point tupu
 
Back
Top Bottom