Malecela 4GB
Member
- Sep 4, 2016
- 33
- 14
Yaani hapa ndo nashindwaga kuelewa maana halisi ya mapenzi napoona vitu kama hivi vinahapeni[emoji441][emoji445]Kwanza Mungu kakubless,baby faceee,umenitoa stress weeeee
Ooooh oooh mama
Nikupeleke ngarenaro oooo oooo mama..kwa mama yake janjaro ooo ooo mama
Usiskize mboyoyo za hawa maboya wanaosema namtamani uwoya[emoji445][emoji441]
For some reasons najikuta nafurahia hii new couple[emoji119]
Vitu gani?Yaani hapa ndo nashindwaga kuelewa maana halisi ya mapenzi napoona vitu kama hivi vinahapeni
Ukaribu wa umriVitu gani?
Acha tu. Kila nikimuwazia huyu Dogo sipati picha.dogo kavuta chuma kikali sana
Acha tu. Kila nikimuwazia huyu Dogo sipati picha.
Ana ujasiri si wa dunia hii.
'' ....Haiwezekani ,youre ma number one unanipaga mpaka mambo ya uwani ...''Yaani hapa ndo nashindwaga kuelewa maana halisi ya mapenzi napoona vitu kama hivi vinahapeni
Yote yawe kheri ndoa idumunampongeza sana demu mzur mno hata mm ningempata nisingemwacha watu wivu tu.
Uko sahihi mkuu.Muda ndo utasema kuna kosa ama la,
Lkn inapendeza sana kuoa mke wa UJANA wako,kuna vitu na vijitabia na mabadiliko ya mwwnza wako unapaswa kuyaona ww km baba wa familia ili hapo baadae Uwe na la kusema kuhusu mkeo na use na la kuwarekebishia na kuwashauria wanao,sasa unapata mke ambae yeye ndo anaona ukuaji na mabadiriko yako si aibu hii,
Mke alisha kuwa sugu wewe bado mtetea
Umeongea poa sana ndugu, haya mambo mengine inabidi uangalie huko pa kwanza alitokaje tokaje?Muda ndo utasema kuna kosa ama la,
Lkn inapendeza sana kuoa mke wa UJANA wako,kuna vitu na vijitabia na mabadiliko ya mwwnza wako unapaswa kuyaona ww km baba wa familia ili hapo baadae Uwe na la kusema kuhusu mkeo na use na la kuwarekebishia na kuwashauria wanao,sasa unapata mke ambae yeye ndo anaona ukuaji na mabadiriko yako si aibu hii,
Mke alisha kuwa sugu wewe bado mtetea
Acha tu. Kila nikimuwazia huyu Dogo sipati picha.
Ana ujasiri si wa dunia hii.
umeandika point tupuMuda ndo utasema kuna kosa ama la,