Madee kafyatua ngoma na Tekno!!!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Msanii Madee A.k.a Rais wa Manzese kafyatua ngoma na msanii Tekno wa Nigeria,mzigo umefanyikia wasafi record kusikiliza ngoma iko hapo chini
-Ndumilakuwili-
 
Huu ndio ushirikiano tunaoutaka wa kimuziki.Madee kwenda kufanyia ngoma wasafi ni bonge moja la sapoti kwa msanii mwenzie.
Sio kukalia wivu na masengenyo na kwenye game unazidi kudorora
 
Hivi haya majanga ya Madee ndio Hip Hop ama nini? Maana huwa simwelewi.
 
Madee aache muziki. Jamaa hajawahi toa ngoma hata moja ikahit, zote ni kama amehack tu, kama hii tekno tu ndo anasikika huyo mwingine sijui style yake alitoa wapi.

Bora huyo Madee kuna kituko anaitwa Tundaman yaani jamaa hajui kuimba yule analialia tu kama yupo madrasa anavyoimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…