We wawapi? Hata pombe yangu haikuwa hit kweli?Madee aache muziki. Jamaa hajawahi toa ngoma hata moja ikahit, zote ni kama amehack tu, kama hii tekno tu ndo anasikika huyo mwingine sijui style yake alitoa wapi.
Msanii Madee A.k.a Rais wa Manzese kafyatua ngoma na msanii Tekno wa Nigeria,mzigo umefanyikia wasafi record kusikiliza ngoma iko hapo chini
-Ndumilakuwili-
Ofcourse bt beat za laiser ni nyepesi sana ila sio mbaya akaze buti maybe ataonekana naye.Huu ndio ushirikiano tunaoutaka wa kimuziki.Madee kwenda kufanyia ngoma wasafi ni bonge moja la sapoti kwa msanii mwenzie.
Sio kukalia wivu na masengenyo na kwenye game unazidi kudorora
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Bora huyo Madee kuna kituko anaitwa Tundaman yaani jamaa hajui kuimba yule analialia tu kama yupo madrasa anavyoimba
Ile "nani kamwaga pombe yangu" naielewa sana!Madee aache muziki. Jamaa hajawahi toa ngoma hata moja ikahit, zote ni kama amehack tu, kama hii tekno tu ndo anasikika huyo mwingine sijui style yake alitoa wapi.