Wanaanzaje? Yaani tena akikusikia umeropoka utakoma.. Madee ana hoja ila tatizo ni mfumo wa haki uliooza. Hata polisi wenyewe wakikuta hamjamuua mwizi wanaishia kuwadharau nyie wananchi. Enzi za Magu wezi wa Kigogo, Mburahati, na Manzese walifungwa na kuuwawa sana. Pia wengi walikimbilia Sauzi.Hivi wale wanaoiba mabilion kwa matrilion wananchi wanaweza kuwafata
Ova
Hajakatazwa kuwa mwizi, ikiwa sumu huonjwa basi naye akaze fuvu kuwa mwizi ili tumtendee haki kisawasawa.Kupitia ukurasa wake wa "X" msanii Madee ameibuka na kutoa mtazamo wake kuhusu hukumu wanayoipata wezi wanapokamatwa na wananchi.
“Sijawahi kumpiga mwizi na sitakuja kumpiga mwizi. Enhee unampiga huyo mwizi then mnamchoma moto baada ya hapo unakua umefaidika na nini”.
“Wote wanaompiga mwizi nakufikia hatua yakumvalisha tairi nakumchoma moto niwashamba tu” ameandika Madee
View attachment 2902867
Nini maoni yako?
Hawez kuibiwa maana yy mwenyewe muhuniHajaibiwa huyo.
Kuibiwa ni timing tu mzee.Hawez kuibiwa maana yy mwenyewe muhuni
Kwenda hata ukiibiwa ñdo uue.Hajaibiwa huyo.
acheni kulea weziadhabu ya mwisho ya mwizi ni kuhukumiwa na Serikali ya mtaa a.k.a Mob JusticeKwenda hata ukiibiwa ñdo uue.
Nimeiba sana samaki WA rangi kwa kuweka mdomoni halafu naenda kutema kwenye kweramu langu Enzi hizo
Kupitia ukurasa wake wa "X" msanii Madee ameibuka na kutoa mtazamo wake kuhusu hukumu wanayoipata wezi wanapokamatwa na wananchi.
“Sijawahi kumpiga mwizi na sitakuja kumpiga mwizi. Enhee unampiga huyo mwizi then mnamchoma moto baada ya hapo unakua umefaidika na nini”.
“Wote wanaompiga mwizi nakufikia hatua yakumvalisha tairi nakumchoma moto niwashamba tu” ameandika Madee
View attachment 2902867
Nini maoni yako?