Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
watanzania mtaburuzwa sana na ccm,na familia zaoBil 20 za mwamedi ziko wapi?
Uonyeshwe we kama Nani? Tuanziie hapo [emoji196]Tunoneshi bil 20 zimewekwa wapi kwanza kabla hatujajadili ya wananchi
Ndio hoja ya Madege?B 20 wapi?
Chuga sasa hivi warembo sanaChalii wa R.Chugga au?
Badala ya kujibu hoja za Madege unalia na Babra, Madege ameongea kiswahilli fasaha jibu hoja zake wewe zungu poriBillion 20 za Mo zipo account ipi..?
Babra kawekwa na nani..?
Mtaichukia GSM hadi mpate ugumba
51% wameweka kiasi gan kwanza?B 20 wapi?
Kwani wale 51% pesa yao wameweka wapi?Billion 20 za Mo zipo account ipi..?
Babra kawekwa na nani..?
Mtaichukia GSM hadi mpate ugumba
Kasome katiba ya YangaBadala ya kujibu hoja za Madege unalia na Babra, Madege ameongea kiswahilli fasaha jibu hoja zake wewe zungu pori
Ni kwel,kama ni wazamin hapa kwa GSM yanga wamepata,Simba kazi mnayo mnamuogopa sana GS, sisi tutampa huyo huyo urais Injinia Hersi Saidi kiboko ya Makolo . Huyu GSM siyo bahili kama Hindi ndiyo maana Makolo wanamgwaya na kumuhofia sana.
Yanga ina kikosi imara na bado unafanya usajili wa maana GSM hawataki mchezo mchezo ni Back to Back mpaka Makolo mkome
Mwenyekiti mstaafu Madege ameleta hoja wewe unaleta porojo za kuwataja wakina Babra, jibu hoja za Madege acha kelele au unafikiri Madege ni kilomoni?Kasome katiba ya Yanga
Madege na Makolo mnadhan Yanga inaendeshwa kama team ya familia. Babra na Mo wenu juzi tu hapa wametoka kukiri Transformation ya Yanga ni Next Level yafaa kuigwa.
Wakanunue na CAF hukoNi kwel,kama ni wazamin hapa kwa GSM yanga wamepata,
Hawa jamaa sio siri uwepo wao yanga utafanya yanga iendelee kusumbua hata msimu ujao
Maana kwa inshu za pesa wao wanamwaga tu na kupata ushindi wanatumia kila aina ya mbinu pamoja na kununua
Mwenyekiti mstaafu Madege ameleta hoja wewe unaleta porojo za kuwataja wakina Babra, jibu hoja za Madege acha kelele au unafikiri Madege ni kilomoni?
Kama unakumbuka madega alipinduliwa kisa manji atawale?Mwekezaji ni GSM sio Eng Hersi,
Lakini mbona hakuwahi kusema kipindi kile cha Manji??
51% pesa yao wameweka wapi?
Mzee Kilomoni naye anahoja tatizo Mazuzu wa Simba wana mshambulia.
Kwa sababu Yanga wengi ni mazuzu, watamshambulia Madega. Madega ana hoja nzito sana.
Mwenyekiti mstaafu wa Yanga sio ccm, vile vile ni mwana chama hai wa Yanga sio ACT, jibu hoja zake mkimaliza ndio lete hoja za MO hapo hakuna kichaka cha kujifichaUshasema mwenyekit mstafu, hana akili kama Makolo msivyo na akili. Kasomeni katiba ya Yanga... Narudia tena maboss zenu makolo babra na Mo juzi kati wamesema hadharani Yanga imefanya Transformation nzuri ni vzuri ikaigwa