Madega ashtushwa na mwekezaji GSM kuwa Rais wa Yanga

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ HILI LIMBUMBU BHANA rage kweli anawajua limeandika pumba tu.
Sisi Yanga tumeamua HERSI ndiye rais ww mbwa mbumbu na huyo madenge sjui mabega inawahusu nini nendeni mahakamani huko.
Ukibisha napost video mo akisema kaweka bil 20 kwenye akaunti ya makolo wakati mpk leo haipo.
 
Yanga mwenye akili ni Kikwete tu na mzee Manara ,wengine wote vibwengo tu
 
Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Imani Madega kuhusiana na Injinia Hersi kuwania Urais wa Yanga….

Kwa sababu Yanga wengi ni mazuzu, watamshambulia Madega. Madega ana hoja nzito sana.
View attachment 2270527
Madega nae ni Mnafiki tu kwani anaona hajateuliwa katika Kamati zozote za Yanga SC na hana Madili hivyo Kinamuuma.
 
Kana yule msekule yeye hataki kusikia chochote kuhusu yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…