Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 242
- 1,141
Wakili Peter Madeleka amefungua kesi Mahakama Kuu kanda ya Dodoma akipinga wachezaji 3 wa Black Stars kupewa uraia wa Tanzania, wachezaji hao ni Emanuel Keyekeh (Ghana), Josephat Bada (Ivory Coast)& Mohamed Damaro Camara (Guinea),Kesi hiyo ya kikatiba imepewa namba 2729/2025.
Pia soma Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni
Pia soma Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni