Wakili Peter Madeleka amefungua kesi Mahakama Kuu kanda ya Dodoma akipinga wachezaji 3 wa Black Stars kupewa uraia wa Tanzania, wachezaji hao ni Emanuel Keyekeh (Ghana), Josephat Bada (Ivory Coast)& Mohamed Damaro Camara (Guinea),Kesi hiyo ya kikatiba imepewa namba 2729/2025.