Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ni ngumu kwa kuwa hao polisi ndio serikali.Oops 😬
Polis ndio enabler wa wanasiasa aa chama tawala, sio taasis ya ulinzi na usalama wa raia anymoreNi ngumu kwa kuwa hao polisi ndio serikali.
unaomba msaada gani,Wakili Peter Madeleka amedai kukabiliwa na hatari ya kukamatwa na Jeshi la Polisi, akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam ambapo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X ametuma ujumbe wa tahadhari akiomba msaada wa haraka kufuatia hali hiyo.
Katika andiko lake ambalo limeibua mijadala mtandaoni, ameandika: "Nipo KISUTU MAHAKAMANI. NATAKA KUKAMATWA na POLISI. Naomba MSAADA."
Soma pia
Hivi madeleka anatuonaje...madeleka mbona kitengo miaka mingi!Wakili Peter Madeleka amedai kukabiliwa na hatari ya kukamatwa na Jeshi la Polisi, akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam ambapo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X ametuma ujumbe wa tahadhari akiomba msaada wa haraka kufuatia hali hiyo.
Katika andiko lake ambalo limeibua mijadala mtandaoni, ameandika: "Nipo KISUTU MAHAKAMANI. NATAKA KUKAMATWA na POLISI. Naomba MSAADA."
Soma pia
Ndio,ila ule ujinga ulimshinda,akaondoka huko mapema!Nae si alikuwa poti huyu jamaa
October 29 kule Segerea kuna poti mstaafu aliwapigia simu mapoti kuripoti uhalifu kilichotokea nadhani ulisikia.Nae si alikuwa poti huyu jamaa