Madeleka: Nipo Kisutu Mahakamani, Polisi wanataka kunikamata. Naomba msaada

unaomba msaada gani,
be specific magereka?

na kua mkweli,
umefanya nini?

kubali kukamatwa bila shuruti, tunakuja kukusaidia ukiwa huko watakakokupeleka, sawa?πŸ’
Comrade ansompia anakosea yeye au mafunzo yake hayaendi sawa mbona boko linazidi ,yaani mwanasheria anaogopa kukamatwa tena amejificha kwenye vyumba vya mahakama sijui mimbali ya mahakama ?

Atoke mara moja kwenye mimbali ya mahakama akamatwe bila shuruti akasikilize a
 
Inabidi Polisi wetu wabadirike, haipendezi hayo kufanyika wakati kuna utawala wa sheria
 
nadani hawa si ndio wale mawakili wa mchongo,
in fact,
huyu muungwana ni kama kishoka au tapeli tu kwenye sheria na sio wakili haswaa
 
nadani hawa si ndio wale mawakili wa mchongo,
in fact,
huyu muungwana ni kama kishoka au tapeli tu kwenye sheria na sio wakili haswaa
Ngano na pumba zipo kujitenga mpaka tuujue ukishoka wake .
Mwanasheria nguli ,ex _police tena high ranked officer leo ujifiche nyuma ya chumba cha kubadilishia nguo mahakimu na kutype mitandaoni eti naogopa polisi wanataka kunikamata ?

Wito wangu atoke mara moja nyuma ya hivyo vyumba ajitokeze polisi sio iziraeli mtoa roho ni mahala salama kwake ,akamatwe bila shuruti
 
inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana kwa wakili ambae hujipiga kifua kwamba ni mtetea haki, kufikia hatua hiyo ya unyonge na uoga hata wa kutetea haki zake mwenyewe dhidi ya byombo vinavyotaka kumtia nguvuni.

huenda kosa lake ni la fedheha sana.
hata hivyo ni lazima atiwe nguvuni regardless ya mayowe yake mitandaoni
 
Huyu Madeleka kama vile mtumishi wa 'mfumo'...
 
Toto zima la kiumeni linaomba msaada kwenye twitter. Pambana ! Mwenzenu ana zaidi ya mwaka yumo ndani,wewe kutaka kukamatwa tu sasa tukusaidieje ? Yaani tuje hapo tuwaambie " Polisi jamani msimkamate Madeleka".
Mkiwa kwenye anga zenu mnaupepeta kwelikweli na mnashangiliwa kama mawakili wasomi,sasa pambana na Polisi wabobezi.
 
Sophia anasema kukamatwa ni kosa Kisheria yeye yupo njiani anakuja hasiwe na wasiwasi tutadai fidia ya billion 2πŸ—πŸ—β—οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…