Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Uongo wa kitoto sana!Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia ACT Wazalendo, Peter Madeleka, amesema kuwa serikali iliyoko madarakani sasa itafikia kikomo cha uhalali wake mwezi Oktoba mwaka huu, na hivyo Watanzania wana jukumu la kuunda serikali mpya kupitia uchaguzi.
Julai 4, 2025 akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Busega, mkoani Simiyu, Madeleka alisisitiza umuhimu wa kushiriki uchaguzi kama njia ya kidemokrasia ya kuleta mabadiliko ya kweli.
"Serikali tuliyonayo leo hii itamaliza uhalali wake mwezi wa kumi. Tunao wajibu wa kutafuta Serikali nyingine. Serikali hiyo tutaipata kwa njia ya uchaguzi. Uchaguzi ni haki ya kidemokrasia. Anayekwambia usishiriki uchaguzi hakutakii mema," alisema Madeleka mbele ya umati wa wananchi waliojitokeza.
Ameonya kuwa wito wa kususia uchaguzi una manufaa kwa chama tawala pekee na unadhoofisha juhudi za kidemokrasia za wananchi.
Hotuba hiyo imekuja wakati ambapo mjadala kuhusu ushiriki wa vyama vya upinzani katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu ukiendelea kushika kasi. ACT Wazalendo wamesisitiza dhamira yao ya kushiriki kikamilifu ili kuzuia kile wanachokiita "utawala wa mabavu bila ridhaa ya wananchi."
Viongozi wa ACT Wazalendo wanaendelea na Operesheni yao waliyoiita Majimaji katika mikoa mbalimbali kueleza msimamo wa chama chao na kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi wakati wa uchaguzi.
Siasa huwa inawafanya nini wasomi? Suddenly wana act dumb kiasi hiki?Kwa maoni yangu naona ni muda wa siasa zinazoendana na wakati huu ambao tayari watu wameelimika.
Sikutegemea Madeleka ambaye tena ni msomi na mwanasheria , anazungumza kitu ambacho hakina mkakati na sifa. Yani polisi anamiliki hivyo vitu kwa kupewa au kwa kufanyaje ikumbukwe polisi ni mtumishi wa umma , watumishi wa umma wapo wengi katika sekta mbalimbali.
Wanasiasa wekeni ahadi zinazopimika kwa akili za wapiga kura.
Kabisa not realisticSiasa huwa inawafanya nini wasomi? Suddenly wana act dumb kiasi hiki?
Seriously ahadi haziko realistic kabisa hiz
He was always Dumb brother!Siasa huwa inawafanya nini wasomi? Suddenly wana act dumb kiasi hiki?
Seriously ahadi haziko realistic kabisa hiz
Mtu asiyefahamu mambo hata yanayofanywa machoni pake. Mjinga aliepitiliza yaan LOFAZumbukuku maana yake ni nini
Nasisi walimu,madaktari na watumishi wengine??🥱, TP Mazembe sana huyu hivi Kuna chesi yeyote alishashinda mbele ya bwana bokela, chama kubwa ni CCMWaziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia ACT Wazalendo, Peter Madeleka, amesema kuwa serikali iliyoko madarakani sasa itafikia kikomo cha uhalali wake mwezi Oktoba mwaka huu, na hivyo Watanzania wana jukumu la kuunda serikali mpya kupitia uchaguzi.
Julai 4, 2025 akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Busega, mkoani Simiyu, Madeleka alisisitiza umuhimu wa kushiriki uchaguzi kama njia ya kidemokrasia ya kuleta mabadiliko ya kweli.
"Serikali tuliyonayo leo hii itamaliza uhalali wake mwezi wa kumi. Tunao wajibu wa kutafuta Serikali nyingine. Serikali hiyo tutaipata kwa njia ya uchaguzi. Uchaguzi ni haki ya kidemokrasia. Anayekwambia usishiriki uchaguzi hakutakii mema," alisema Madeleka mbele ya umati wa wananchi waliojitokeza.
Ameonya kuwa wito wa kususia uchaguzi una manufaa kwa chama tawala pekee na unadhoofisha juhudi za kidemokrasia za wananchi.
Hotuba hiyo imekuja wakati ambapo mjadala kuhusu ushiriki wa vyama vya upinzani katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu ukiendelea kushika kasi. ACT Wazalendo wamesisitiza dhamira yao ya kushiriki kikamilifu ili kuzuia kile wanachokiita "utawala wa mabavu bila ridhaa ya wananchi."
Viongozi wa ACT Wazalendo wanaendelea na Operesheni yao waliyoiita Majimaji katika mikoa mbalimbali kueleza msimamo wa chama chao na kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi wakati wa uchaguzi.
Msomi Mwanasheria kichwa Maji labdaWanasiasa wekeni ahadi zinazopimika kwa akili za wapiga kura.
PolisisiyemuWaziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia ACT Wazalendo, Peter Madeleka, amesema kuwa serikali iliyoko madarakani sasa itafikia kikomo cha uhalali wake mwezi Oktoba mwaka huu, na hivyo Watanzania wana jukumu la kuunda serikali mpya kupitia uchaguzi.