Madem wa aina hii bado wapo?

jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
2,932
Reaction score
2,715
Ngoja basi niwakumbushe kitu...

kipindi kile cha miaka ya late 90's na early 2000's basi ilikuwa ukimtongoza mdada unakuta anaanza kujilambalamba vidole huku akiwa anacheesha kidole gumba cha mguu huku akiangalia chini kwa AIBU kuonesha kuwa "SOUND" imemwingia ila anaogopa tu kusema "NIMEKUBALI" live...

Those where the days...no faking...no deodorant... no carolight.... no faking swags... yaani akikubali kakubali kweli.....

Sasa hivi mkiwa mmekaa sehem unamwaga sumu basi unaangaliwa na macho makali kama ya yue chui wa kwenye TANGAZO LA SERENGETI,akiondoa macho ujue anasoma notification ya whatsapp au insta... halafu anakuuliza 'Eti umesemaje tena'? DAMN

****Hivi madem wanaojilamba lamba vidole na kuangalia chini kwa aibu bado wapo? Kama hawapo unahisi nini kimewabadilisha?****WE UNAONAJE?
 
Hawapo kwa sababu wanafanya biashara na biashara haihitaji aibu.
 
Nowadays hata kabla hujatongoza utaombwa matumizi ya kutengeneza simu it means kama uko mbali ukirudi utapewa tu utakalo
 
sikuhizi tunalamba ice cream , wine , vyakula tunalambalamba, na sijui vitu vya shake milk ,.. sijui shake what what.. sasa sangapi tutalamba vidole wakati vya kulamba vipo.......... labda muanze kututongozea vichakani
 
N a tukiwatongoza mkiwa mmeegemea ukuta?😛😛
 
ehehe,,,kazi kweli kweli...toa kitu upewe kitu,right?
 
N a tukiwatongoza mkiwa mmeegemea ukuta?😛😛
labda maeneo hayo lakini ukisha weka miadi sijui tukutane sijui kitu gani garden jua tu utatolewa macho na bill ikifuiata nyuma matata
 
hehehe,,,umenikumbusha kitu hapo...wakati wa bili sasa atakuwa bize na whatsapp...dakika hiyo atapost hata katika lile group ambalo ameliMUTE kabisa
 
ha ha haha tena na nanuli unatoa
 
sikuhizi tunalamba ice cream , wine , vyakula tunalambalamba, na sijui vitu vya shake milk ,.. sijui shake what what.. sasa sangapi tutalamba vidole wakati vya kulamba vipo.......... labda muanze kututongozea vichakani
 
Nowadays hata kabla hujatongoza utaombwa matumizi ya kutengeneza simu it means kama uko mbali ukirudi utapewa tu utakalo
Kuna demu nilikutana nae kaniambia nimpe hela sim yake imekufa notifications hazisomi nilikosa pozi ka kumjibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…